1 line
319 B
Plaintext
1 line
319 B
Plaintext
|
\v 37 Yeye ambaye anampenda baba au mama zaidi kuliko mimi huyo hanistahili. Na yeye anayempenda kijana au binti zaidi kuliko mimi huyo hanistahili. \v 38 Yeye ambaye hatabeba msalaba na kunifuata mimi hanistahili. \v 39 Yeye atakayetafuta maisha atayapoteza. Lakini yeye atakayepoteza maisha kwa ajili yangu atayapata.
|