Tue Apr 18 2023 15:27:23 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 15:27:23 +03:00
parent 21447775f3
commit f10011d7f8
2 changed files with 3 additions and 1 deletions

1
05/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Kama mtu akitenda dhambi kwa kufanya kile ambacho Bwana aliagiza kisifanyike, hata kama hakujua, atakuwa na hatia na ataibeba hatia yake. \v 18 Lazima ataleta kondoo dume asiye na kasoro kutoka katika kundi, anayestahili thamani ya fedha, kama sadaka ya hatia kwa kuhani.Ndipo kuhani atafanya upatanisho kulingana na dhambi aliyotenda, ambayo hakujua atakuwa amesamehewa. \v 19 Ni sadaka ya hatia, na amekuwa na hatia mbele za Bwana."

View File

@ -86,6 +86,7 @@
"05-10",
"05-11",
"05-12",
"05-14"
"05-14",
"05-17"
]
}