Wed Apr 19 2023 12:07:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 12:07:32 +03:00
parent cef540cb55
commit ec5ce9cedb
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 35 Unapopima urefu, uzito, au wingi usitumie vipimo vya udanganyifu. \v 36 Tumia mizani iliyo halali, mawe ya kupimia uzito yaliyo halali, efa halali, hini iliyo halali. Mimi ndimi Yahwe Mungu wako, aliyekutoa katika nchi ya utumwa ya Misri. \v 37 Utayatii maagizo yangu na sheria zangu zote na kuzitenda. Mimi ndimi Yahwe.

1
20/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 20 \v 1 Yahwe akazungumza na Musa, akasema, \v 2 "Waambie watu wa Waisraeli, 'Mtu yeyote miongoni mwa watu Israeli, au Mgeni yeyote anayeishi miongoni mwa Waisraeli atakayemtoa mtoto wake yeyote kwa Moleki, hakika atauawa. Ni lazima watu wa nchi wamponde kwa mawe.

1
20/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
3 Pia nitaukaza uso wangu dhidi ya mtu huyo na kumkatilia mbali kutoka miongoni mwa watu wake kwa sababu amemtoa mtoto wake kwa Moleki, ili kupatia unajisi mahali pangu patakatifu na kulinajisi jina langu takatifu. 4 Na kama watu wa nchi watayafumba macho yao kwa mtu huyo anapomtoa mmoja wa watoto wake kwa Moleki, kama hawatamwua mtu huyo, ndipo Mimi mwenyewe nitaukaza uso wangu dhidi ya mtu huyo na ukoo wake, 5 Nami nitamkatilia mbali pamoja na yeyote anayejifanya kahaba ili kufanya umalaya na Moleki.

1
20/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 20

View File

@ -299,6 +299,9 @@
"19-29",
"19-31",
"19-32",
"19-33"
"19-33",
"19-35",
"20-title",
"20-01"
]
}