Wed Apr 19 2023 13:35:36 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 13:35:37 +03:00
parent e04a638fcd
commit 7bb6dcf789
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 42 Mtaishi kwenye vibanda vidogo vidogo kwa siku saba. Waisraeli wenyeji wa kuzaliwa wote itawapasa kuishi katika vibanda vidogo vidogo kwa siku saba, \v 43 ili kwamba wazao wenu,kizazi baada ya kizazi, waweze kujifunza nilivyowafanya wana wa Israeli kuishi kwenye vibanda kama hivi nilipowaongoza kutoka katika nchi ya Misri. Mimi ndimi Yahwe Mungu wenu.'" \v 44 Katika njia hii Musa akazitangaza kwa watu wa ISraeli sikukuu zilizoamriwa kwa ajili ya Yahwe.
\v 42 Mtaishi kwenye vibanda vidogo vidogo kwa siku saba. Waisraeli wenyeji wa kuzaliwa wote itawapasa kuishi katika vibanda vidogo vidogo kwa siku saba, \v 43 ili kwamba wazao wenu,kizazi baada ya kizazi, waweze kujifunza nilivyowafanya wana wa Israeli kuishi kwenye vibanda kama hivi nilipowaongoza kutoka katika nchi ya Misri. Mimi ndimi Yahwe Mungu wenu.'" \v 44 Katika njia hii Musa akazitangaza kwa watu wa Israeli sikukuu zilizoamriwa kwa ajili ya Yahwe.

1
24/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 24 \v 1 Yahwe akamwambia Musa, akisema, \v 2 "Waamuru watu wa Israeli wakuletee mafuta halisi yaliyokamliwa kutokana na mizeituni ili yatumike kwenye taa, ili kwamba taa ziweze kuwaka daima na kuleta mwanga.

1
24/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 24

View File

@ -357,6 +357,9 @@
"23-35",
"23-37",
"23-39",
"23-40"
"23-40",
"23-42",
"24-title",
"24-01"
]
}