Tue Apr 18 2023 21:48:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 21:48:29 +03:00
parent 095a04bbd2
commit 77af8b83f1
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 34 Kilichotendeka siku hii— Yahwe ndiye amekiamuru kitendeke ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu. \v 35 Mtakaa kwenye ingilio la hema la kukutania mchana na usiku siku saba, nanyi ishikeni amri ya Yahwe ili msije mkafa, kwa sababu hivi ndivyo ilivyoamriwa. \v 36 36 Kwa hiyo Haruni na wanawe wakafanya mambo yote ambayo Yahwe alikuwa amewaamru kwa kinywa cha Musa.
\v 34 Kilichotendeka siku hii— Yahwe ndiye amekiamuru kitendeke ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu. \v 35 Mtakaa kwenye ingilio la hema la kukutania mchana na usiku siku saba, nanyi ishikeni amri ya Yahwe ili msije mkafa, kwa sababu hivi ndivyo ilivyoamriwa. \v 36 Kwa hiyo Haruni na wanawe wakafanya mambo yote ambayo Yahwe alikuwa amewaamru kwa kinywa cha Musa.

1
09/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 9 \v 1 Katika siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli. \v 2 Akamwambia Haruni, "Twaa ndama dume kutoka kundini kwa ajili ya sadaka ya dhambi zako, na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa, wote wawili wasiwe na dosari, na uwatoe mbele za Yahwe.

1
09/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 9

View File

@ -133,6 +133,9 @@
"08-25",
"08-28",
"08-30",
"08-31"
"08-31",
"08-34",
"09-title",
"09-01"
]
}