Wed Apr 19 2023 08:49:26 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 08:49:27 +03:00
parent c5b73671d1
commit 751d3941ba
4 changed files with 7 additions and 3 deletions

View File

@ -1,2 +1 @@
\v 34 Hii daima itakuwa sharti kwa ajili yako, kufanya upatanisho kwa ajili ya watu wa Israeli kwa sababu ya dhambi zao zote, mara moja kwa kila mwaka." Na ilikuwa ikifanyika kama Yahwe alivyo mwamuru Musa.

2
17/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\c 17 \v 1 Yahwe akamwambia Musa, \v 2 "Zungumza na Haruni na wanawe, na watu wote wa Israeli. Waambie mambo ambayo ameamru Yahwe: \v 3 Mtu yeyote wa Israeli anayeua fahali au mwana
—kondoo au mbuzi kambini, au amuuaye nje ya kambi, ili kumtoa dhabihu— \v 4 kama hamleti katika ingilio la hema la kukutania ili kumtoa dhabihu kwa Yahwe mbele za hema lake la kukutania, mtu huyo ana hatia ya damu iliyomwagika. Amemwaga damu, na mtu huyo ni sharti akatiliwe mbali kutoka miongoni mwa watu wake.

1
17/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 17

View File

@ -259,6 +259,8 @@
"16-25",
"16-27",
"16-29",
"16-32"
"16-32",
"16-34",
"17-title"
]
}