Wed Apr 19 2023 08:57:27 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 08:57:27 +03:00
parent a065dc440c
commit 702238e86a
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
17/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Kwa kuwa uhai wa kila kiumbe umo katika damu yake. Ni kwa sababu hii niliwaambia watu wa Israeli, ni lazima msile damu ya kiumbe cho chote, kwa kuwa maisha ya kila kiumbe chenye uhai ni damu yake. Yeyote ailaye ni lazima akatiliwe mbali.

1
17/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Mtu yeyote alaye mnyama aliye kufa au ambaye ameraruliwa na wanyama pori, ama yule mtu ni mwenyeji wa kuzaliwa au ni mgeni aishiye miongoni mwenu, ni lazima atazifua nguo zake na kujiosha katika maji, naye atakuwa najisi hata jioni. Kisha atakuwa safi. \v 16 Lakini kama hazifui nguo zake au kuosha mwili wake, ni lazima aichukue hatia yake".

1
18/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura

View File

@ -267,6 +267,8 @@
"17-07",
"17-08",
"17-10",
"17-12"
"17-12",
"17-14",
"17-15"
]
}