Wed Apr 19 2023 14:47:50 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 14:47:50 +03:00
parent 4e4572fb3b
commit 64141aef0f
4 changed files with 7 additions and 1 deletions

1
26/44.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 44 Lakini pamoja na haya yote, watakapokuwa katika nchi ya adui zao, Mimi sitawakataa wao, wala sitawachukia ili kuwaangamiza kabisa na kulifutilia mbali agano langu nililoagana nao, kwa kuwa Mimi ndimi Yahweh Mungu wao. \v 45 Bali kwa ajili yao, nitalikumbuka agano langu na baba zao, niliowaleta kutoka katika nchi ya Misri machoni pa mataifa, ili niwe Mungu wao. Mimi ndimi Yahwe."

1
26/46.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 46 Hizi ndizo amri, hukumu, na sheria ambazo Yahwe alifanya baina yake na watu wa Israeli kwenye Mlima Sinai kwa kupitia Musa.

1
27/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 27

View File

@ -413,6 +413,9 @@
"26-34",
"26-37",
"26-40",
"26-43"
"26-43",
"26-44",
"26-46",
"27-title"
]
}