Wed Apr 19 2023 12:39:36 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 12:39:37 +03:00
parent f146c285aa
commit 48195c34c6
4 changed files with 8 additions and 1 deletions

1
21/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Anaweza kula chakula cha Mungu wake, ama iwe baadhi ya vile vilivyo vitakatifu sana au vile vitakatifu. \v 23 Hata hivyo, hataingia ndani ya pazia wala kuisogelea madhabahu, kwa sababu ana kasoro mwilini mwake, ili kwamba asipanajisi mahali patakatifu pangu, kwa kuwa Mimi ndimi Yahwe anayewafanya watakatifu." \v 24 Kwa hiyo Musa akamwambia maneno haya Haruni, wanawe, na watu wote wa Israeli.

3
22/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,3 @@
\c 22 1 Yahwe akazungumza na Musa, kusema, 2 "Ongea na Haruni na wanawe, waambie wajiepushe na vitu vitakatifu vya watu wa Israeli wanavyovitenga kwangu. Wasilinajisi jina langu. Mimi ndimi Yahwe. 3 Waambie, 'Ikiwa mmoja wa wazao wenu katika vizazi vyenu vyote anakaribia vitu vitakatiifu vile ambavyo watu wa Israeli wamevitenga kwa Yahwe, wakati
akiwa najisi, sharti mtu huyo akatiliwe mbali atoke mbele zangu. Mimi ndimi Yahwe.

1
22/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 22

View File

@ -322,6 +322,8 @@
"21-10",
"21-13",
"21-16",
"21-18"
"21-18",
"21-22",
"22-title"
]
}