Wed Apr 19 2023 12:25:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-19 12:25:35 +03:00
parent ff9a172e52
commit 1e3926ab50
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
20/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Mwanaume au mwanamke anayeongea na wafu au anayeongea na roho hakika atauawa. Watu watawaponda kwa mawe. Wanayo hatia na wanastahili kufa.

1
21/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 21 \v 1 Yahwe akamwambia Musa, "Zungumza na makuhani, wana wa Haruni, nawe waambie, 'Hakuna hata mmoja miongoni mwenu atakayejitia unajisi kwa wale wanaokufa miongoni mwa watu wake, \v 2 isipokuwa yule aliye ndugu wa karibu—mama yake, baba yake, mwanawe, bintiye, nduguye,\v 3 Au dada yake bikira anayemtegemea, kwa kuwa hana mume—kwake huyo anaweza kujitia unajisi.

1
21/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 21

View File

@ -313,6 +313,8 @@
"20-19",
"20-22",
"20-24",
"20-26"
"20-26",
"20-27",
"21-title"
]
}