Fri Sep 01 2023 09:25:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 09:25:11 +03:00
parent 448bb5ee1f
commit 0333de0b1a
4 changed files with 6 additions and 4 deletions

View File

@ -1,3 +1 @@
\v 14 Enoko, wa saba kutoka kwa Adamu, alitabiri kuhusu wao, akisema, "Tazama! Bwana anakuja na maelfu kwa maelfu ya watakatifu wake,\v 15 ili afanye hukumu juu ya kila mtu, na kutia hatia wote wasiomcha Mungu juu ya matendo yao yote waliyokwishafanya katika njia zisizo za kitauwa, na kwa maneno yote ya ukali ambayo wasio watauwa wameyanena dhidi yake."\v 16 Hawa ni wale wanung'unikao, walalamikao ambao hufuata tamaa zao za uovu, wajivunao mno, ambao kwa faida yao hudanganya wengi 17 Lakini ninyi, wapendwa, kumbukeni maneno ambayo yalinenwa zamani na mitume wa Bwana Yesu Kristo. 18 Walisema kwenu, "Katika nyakatii za mwisho kutakuwa na watu wanaodhihaki ambao hufuata tamaa zao zisizo za kitauwa." 19 Watu hawa ni watenganishaji, wanatawaliwa na tamaa za kidunia na hawana Roho. 20 Lakini ninyi, wapendwa, jijengeni katika imani yenu takatifu sana na muombe katika Roho Mtakatifu, 21 jitunzeni katika upendo wa Mungu, na msubiri rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo ambayo huwapatia uzima wa milele. 22 Onesheni rehema kwa wale walio na shaka. 23 Waokoeni wengine kwa kuwanyakua kutoka katika moto. Kwa wengine onesheni huruma kwa hofu, mkichukia hata vazi lililotiwa doa na mwili. 24 Sasa kwake awezaye kuwalinda msijikwae, na kuwasababisha msimame mbele ya utukufu wake, bila mawaa na kuwa na furaha kuu, 25 kwake Mungu pekee mwokozi kupitia Yesu Kristo Bwana wetu, utukufu uwe kwake, ukuu, uwezo na nguvu kabla ya nyakati zote, na sasa na hata milele. Amina.
\v 14 Enoko, wa saba kutoka kwa Adamu, alitabiri kuhusu wao, akisema, "Tazama! Bwana anakuja na maelfu kwa maelfu ya watakatifu wake, \v 15 ili afanye hukumu juu ya kila mtu, na kutia hatia wote wasiomcha Mungu juu ya matendo yao yote waliyokwishafanya katika njia zisizo za kitauwa, na kwa maneno yote ya ukali ambayo wasio watauwa wameyanena dhidi yake." \v 16 Hawa ni wale wanung'unikao, walalamikao ambao hufuata tamaa zao za uovu, wajivunao mno, ambao kwa faida yao hudanganya wengi

1
01/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Lakini ninyi, wapendwa, kumbukeni maneno ambayo yalinenwa zamani na mitume wa Bwana Yesu Kristo. \v 18 Walisema kwenu, "Katika nyakatii za mwisho kutakuwa na watu wanaodhihaki ambao hufuata tamaa zao zisizo za kitauwa." \v 19 Watu hawa ni watenganishaji, wanatawaliwa na tamaa za kidunia na hawana Roho.

1
01/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Lakini ninyi, wapendwa, jijengeni katika imani yenu takatifu sana na muombe katika Roho Mtakatifu, \v 21 jitunzeni katika upendo wa Mungu, na msubiri rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo ambayo huwapatia uzima wa milele. 22 Onesheni rehema kwa wale walio na shaka. 23 Waokoeni wengine kwa kuwanyakua kutoka katika moto. Kwa wengine onesheni huruma kwa hofu, mkichukia hata vazi lililotiwa doa na mwili. 24 Sasa kwake awezaye kuwalinda msijikwae, na kuwasababisha msimame mbele ya utukufu wake, bila mawaa na kuwa na furaha kuu, 25 kwake Mungu pekee mwokozi kupitia Yesu Kristo Bwana wetu, utukufu uwe kwake, ukuu, uwezo na nguvu kabla ya nyakati zote, na sasa na hata milele. Amina.

View File

@ -43,6 +43,8 @@
"01-05",
"01-07",
"01-09",
"01-12"
"01-12",
"01-14",
"01-17"
]
}