Mon Apr 24 2023 09:41:41 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 09:41:41 +03:00
parent ea147563e1
commit a5215f9e94
5 changed files with 9 additions and 1 deletions

2
01/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 18 Wakati alipokuwa akiendelea kusema, akatokea mjumbe mwingine pia na kusema, "Wanao wa kiume na binti zako walikuwa wakila na kunywa mvinyo nyumbani mwa ndugu yao mkubwa. \v 19 Upepo wenye nguvu ulitokea jangwani na ukapiga pembe nne za nyumba.
Ikawaangukia vijana hao, na wakafa wote. Mimi pekee nimeokoka kukuletea habari.

1
01/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kisha Ayubu akainuka, akalirarua joho lake, akanyoa kichwa chake, akaanguka chini kifudifudi na kumwabudu Mungu. \v 21 Akasema, "Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu ni uchi, nami nitakuwa uchi wakati nitakaporudi huko. BWANA alitoa, na BWANA ametwaa. Jina la BWANA libarikiwe." \v 22 Katika mambo hayo yote, Ayubu hakutenda dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa uovu.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 2 \v 1 Kisha kulikuwa na siku wana wa Mungu walipokwenda kujihudhurisha mbele za BWANA. Shetani pia alikwenda kati yao kujihudhulisha mbele za BWANA. \v 2 BWANA akamuuliza Shetani, "umetoka wapi wewe?" Kisha Shetani akamjibu BWANA na kusema, "Natoka kuzunguka zunguka duniani, kutembea huku na huko humo."

1
02/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 2

View File

@ -42,6 +42,9 @@
"01-06",
"01-09",
"01-13",
"01-16"
"01-16",
"01-18",
"01-20",
"02-title"
]
}