Wed Apr 26 2023 23:22:08 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
a3521543b3
commit
4d954d822d
|
@ -1 +1 @@
|
|||
19 Yeye ni mkuu wa viumbe vya Mungu. Ni Mungu pekee, ambaye alimwumba, anaweza kumshinda. \v 20 Kwa kuwa milima humpatia chakula; hayawani wa mashambani hucheza karibu. \v 21 Hujilaza chini ya mimiea ya kivuli katika makao ya mianzi, na katika bwawa la matope.
|
||||
\v 19 Yeye ni mkuu wa viumbe vya Mungu. Ni Mungu pekee, ambaye alimwumba, anaweza kumshinda. \v 20 Kwa kuwa milima humpatia chakula; hayawani wa mashambani hucheza karibu. \v 21 Hujilaza chini ya mimiea ya kivuli katika makao ya mianzi, na katika bwawa la matope.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 22 Miti yenye vivuli humfunika katika vivuli vyake; mierebi ya kijito inamzunguka pande zote. \v 23 Tazama, kama mto utazigharikisha kingo zake, hatikisiki; yeye anajiamini, hata kama Mto wa Yordani unajaa hadi katika pua yake. \v 24 Je mtu yeyote aweza kumnasa kwa ndoano, au kuichoma pua yake kwa mtego?
|
|
@ -0,0 +1,2 @@
|
|||
\c 41 1 Je waweza kumvua mamba kwa ndoano ya samaki? Au kumfunga taya zake kwa kamba? 2
|
||||
Je waweza kuweka kamba katika pua zake, au kumtoboa taya yake kwa ndoano?\v 3 Je atafanya maombi mengi kwako? Je atazungumza na wewe kwa maneno laini?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 41
|
|
@ -489,6 +489,9 @@
|
|||
"40-10",
|
||||
"40-12",
|
||||
"40-15",
|
||||
"40-17"
|
||||
"40-17",
|
||||
"40-19",
|
||||
"40-22",
|
||||
"41-title"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue