Wed Apr 26 2023 11:43:11 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-26 11:43:11 +03:00
parent 38900b9684
commit 4d3f4d420c
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
15 nguo ya magunia juu ya ngozi yangu; Mimi nimeisukuma kwa nguvu pembe yangu ndani ya ardhi. 16 Uso wangu ni mwekundu na kuomboleza; juu ya ngozi inayofunika macho kuna kivuli cha mauti 17 ingawa hakuna dhuluma katika mikono yangu, na kuomba kwangu ni safi.
\v 15 nguo ya magunia juu ya ngozi yangu; Mimi nimeisukuma kwa nguvu pembe yangu ndani ya ardhi. \v 16 Uso wangu ni mwekundu na kuomboleza; juu ya ngozi inayofunika macho kuna kivuli cha mauti \v 17 ingawa hakuna dhuluma katika mikono yangu, na kuomba kwangu ni safi.

1
16/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Nchi, haifuniki juu damu yangu mimi; acha kulia kwangu kuwe hakuna mahali pa kupumzika. \v 19 Hata sasa, tazama, ushuhuda wangu uko mbinguni; yeye ambaye ashuhudiaye kwa ajili yangu mimi yuko juu.

1
16/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Rafiki zangu wananicheka kwa dharau, lakini jicho langu linamwaga machozi kwa Mungu. \v 21 Mimi ninaomba ule ushuhuda ulioko mbinguni kumtetea mtu huyu na Mungu kama mwanadamu afanyavyo na jirani yake. \v 22 Kwa maana wakati miaka michache itakapokuwa imepita, Mimi nitakwenda mahali ambapo mimi sitaweza kurudi.

View File

@ -205,6 +205,9 @@
"16-06",
"16-09",
"16-11",
"16-13"
"16-13",
"16-15",
"16-18",
"16-20"
]
}