Wed Apr 26 2023 20:53:11 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-26 20:53:11 +03:00
parent b50c67ca67
commit 301fecce09
5 changed files with 9 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
38 Kama nchi yangu ingelia dhidi yangu, na matuta yake yaomboleza pamoja, 39 ikiwa nimekula mavuno yake bila kulipia au kama nimesababisha wamiliki wake kupoteza maisha yao, 40 ndipo miiba na iote badala ya ngano na magugu badala ya shayiri." Maneno ya Ayubu yamemalizika.
\v 38 Kama nchi yangu ingelia dhidi yangu, na matuta yake yaomboleza pamoja, \v 39 ikiwa nimekula mavuno yake bila kulipia au kama nimesababisha wamiliki wake kupoteza maisha yao, \v 40 ndipo miiba na iote badala ya ngano na magugu badala ya shayiri." Maneno ya Ayubu yamemalizika.

1
32/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 32 \v 1 Hivyo hawa watu watatu walikoma kumjibu Ayubu kwasababu alikuwa ni mwenye haki katika macho yake mwenyewe. \v 2 Ndipo iliwaka hasira ya Elihu mwana wa Barakeli Mbuzi, wa familia ya Ramu, iliwaka dhidi ya Ayubu kwa kuwa alijihesabia haki mwenyewe kuliko Mungu.

1
32/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Hasira ya Elihu iliwaka pia kinyume cha marafiki zake watatu kwasababu hawakupata jibu kwa ajili ya Ayubu, na bado walimhukumu Ayubu. \v 4 Sasa Elihu alikuwa amemsubiri Ayubu ili aweze kuzungumza naye kwa kuwa watu wengine walikuwa wakubwa kuliko yeye. \v 5 Hata hivyo, wakati Elihu alipoona ya kuwa hapakuwa na jibu katika midomo ya watu hawa watatu, hasira yake iliwaka.

1
32/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 32

View File

@ -373,6 +373,10 @@
"31-29",
"31-31",
"31-33",
"31-35"
"31-35",
"31-38",
"32-title",
"32-01",
"32-03"
]
}