Mon Apr 24 2023 09:47:41 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
317fab2caf
commit
2d8c6b92f1
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 12 Walipoinua macho yao wakiwa mbali,hawakuweza kumtambua. Wakapaza sauti zao na kulia; kila mmoja wao akararua joho lake na kurusha majivu hewani na juu ya kichwa chake. \v 13 Kisha wakaketi chini pamoja naye kwa muda wa siku saba-mchana na usiku. Hakuna hata mmoja aliyesema naye neno, kwa kuwa waliona kuwa huzuni yake ilikuwa kuu mno.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 3 \v 1 Baada ya hayo, Ayubu alianza kusema na kuilani siku aliyozaliwa. \v 2 Akasema, \v 3 "Na ipotelee mbali siku niliyozaliwa mimi, usiku uliosema, 'Mimba ya mtoto wa kiume imetungwa.'
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 3
|
|
@ -51,6 +51,9 @@
|
|||
"02-04",
|
||||
"02-07",
|
||||
"02-09",
|
||||
"02-11"
|
||||
"02-11",
|
||||
"02-12",
|
||||
"03-title",
|
||||
"03-01"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue