Wed Apr 26 2023 20:39:07 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-26 20:39:07 +03:00
parent 87e050396a
commit 1587118c3b
5 changed files with 9 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
24 Lakini, je hakuna ainuaye mkono wake kuomba msaada aangukapo? Je hakuna aombaye msaada akiwa tabuni? \v 25 Je sikulia kwa ajili yake aliyekuwa tabuni? Je sijahuzunika kwa ajili ya mwitaji? \v 26 Nilipotazamia mema, ndipo yalipokuja mabaya; niliposubiri nuru, giza lilikuja badala yake.
\v 24 Lakini, je hakuna ainuaye mkono wake kuomba msaada aangukapo? Je hakuna aombaye msaada akiwa tabuni? \v 25 Je sikulia kwa ajili yake aliyekuwa tabuni? Je sijahuzunika kwa ajili ya mwitaji? \v 26 Nilipotazamia mema, ndipo yalipokuja mabaya; niliposubiri nuru, giza lilikuja badala yake.

1
30/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Moyo wangu umetaabika na hautulii; siku za mateso zimenipata. \v 28 Nimekuwa na ngozi nyeusi lakini si kwa sababu ya jua; nasimama katika kusanyiko na kulilia msaada. \v 29 Nimekuwa ndugu kwa mbwea, mshirika wa mbuni.

1
30/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Ngozi yangu imekuwa nyeusi na inapukutika; mifupa yangu imeunguzwa na joto. \v 31 Kwa hiyo kinubi changu kimefunguliwa kwa nyimbo za maombolezo, zomari yangu kwa kuimba kwao waombolezao.

1
31/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 31

View File

@ -353,6 +353,10 @@
"30-16",
"30-18",
"30-20",
"30-22"
"30-22",
"30-24",
"30-27",
"30-30",
"31-title"
]
}