Mon Apr 24 2023 09:59:42 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 09:59:43 +03:00
parent 333a397fae
commit 01bc221334
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
14 Ilikuwa usiku wakati nilipopatwa hofu na kutetemeka, na mifupa yangu yote ikatikisika. 15 Kisha nafsi ikapita mbele ya uso wangu, na nywele zangu za mwili zilisimama.
\v 14 Ilikuwa usiku wakati nilipopatwa hofu na kutetemeka, na mifupa yangu yote ikatikisika. \v 15 Kisha nafsi ikapita mbele ya uso wangu, na nywele zangu za mwili zilisimama.

1
04/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Nafsi ilisimama kimya, lakini sikuweza kupambanua sura yake. Umbo lilikuwa mbele ya macho yangu; kulikuwa kimya, nami nikasikia sauti ikisema, \v 17 "Je binadamu anaweza kuwa mwenye haki zaidi kuliko Mungu? Je mtu anaweza kuwa msafi zaidi kuliko muumba wake?

1
04/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Tazama, kama Mungu hawaamini watumishi wake; kama hulaumu upumbavu wa malaika zake, \v 19 je si zaidi sana ukweli huu kwa wale waishio katika nyumba za udongo, ambao misingi yao ipo katika vumbi, wale waliopondwa mbele ya nondo?

1
04/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kati ya asubuhi na jioni wameangamizwa; wameangamia milele wala bila yeyote kuwatambua. \v 21 Je kamba za hema yao hazikung'olewa kati yao? Wanakufa; wanakufa bila hekima.

View File

@ -70,6 +70,9 @@
"04-04",
"04-07",
"04-10",
"04-12"
"04-12",
"04-14",
"04-16",
"04-18"
]
}