Fri Sep 01 2023 19:26:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 19:26:14 +03:00
parent 870be54ffc
commit cb506a118e
7 changed files with 12 additions and 1 deletions

1
04/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Lakini Mungu hutoa neema zaidi, ndiyo maana maandiko husema, "Mungu humpinga mwenye kiburi, lakini humpa neema mnyenyekevu." \v 7 Hivyo basi jitoeni kwa Mungu. Mpingeni ibilisi na yeye atakimbia kutoka kwenu.

1
04/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Mkaribieni Mungu, na yeye atakaribia karibu nanyi. Safisheni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na takaseni mioyo yenu, enyi wenye nia mbili. \v 9 Huzunikeni, ombolezeni, na kulia! Geuzeni kicheko chenu kuwa huzuni na furaha yenu kuwa maombolezo. \v 10 Jinyenyekezeni wenyewe mbele za Bwana, na atawainua juu.

1
04/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Msineneane kinyume ninyi kwa ninyi, ndugu. Mtu anenaye kinyume na ndugu yake, au kumhukumu ndugu yake, hunena kinyume na sheria na huihukumu sheria ya Mungu. Mkiihukumu sheria, hamuitii sheria, bali mnaihukumu. \v 12 Ni mmoja tu ambaye ni mtoa sheria na hakimu,Mungu, yeye aliye na uwezo wa kuokoa na kuangamiza. Wewe ni nani ambaye unamhukumu jirani yako?

1
04/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Sikilizeni, ninyi msemao, "Leo au kesho tutakwenda katika mji huu, na kukaa mwaka huko, na kufanya biashara, na kutengeneza faida." \v 14 Ni nani ajuaye nini kitakachotokea kesho juu ya maisha yenu ninyi? Kwa kuwa mnafanana kama ukungu unaotokea kwa muda mfupi na kisha hupotea.

1
04/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Badala yake mngepaswa kusema, "kama ni mapenzi ya Bwana, tutaishi na tutafanya hiki au kile." \v 16 Lakini sasa mnajivuna juu ya mipango yenu. Majivuno yote hayo ni uovu. \v 17 Kwahiyo, kwake yeye ajuaye kutenda mema lakini hayatendi, kwake huyo ni dhambi.

1
05/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 5

View File

@ -69,6 +69,11 @@
"03-15",
"04-title",
"04-01",
"04-04"
"04-04",
"04-06",
"04-08",
"04-11",
"04-13",
"04-15"
]
}