Fri Sep 01 2023 19:14:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 19:14:14 +03:00
parent c5c49f2861
commit 8daf12c4ae
6 changed files with 10 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v19 Mnajua hili, ndugu zangu wapendwa. Kila mmoja anapaswa kuwa mwepesi wa kusikia,siyo mwepesi wa kuongea wala kukasirika, 20 kwa kuwa hasira ya mwanadamu haiwezi kutenda haki ya Mungu. 21 Kwa hiyo wekeni mbali uchafu wa dhambi na ubaya wote ulio mahali popote, na kwa unyenyekevu lipokeeni neno lililopandwa ndani yenu, ambalo lina uwezo wa kuokoa roho zenu
\v 19 Mnajua hili, ndugu zangu wapendwa. Kila mmoja anapaswa kuwa mwepesi wa kusikia,siyo mwepesi wa kuongea wala kukasirika, \v 20 kwa kuwa hasira ya mwanadamu haiwezi kutenda haki ya Mungu. \v 21 Kwa hiyo wekeni mbali uchafu wa dhambi na ubaya wote ulio mahali popote, na kwa unyenyekevu lipokeeni neno lililopandwa ndani yenu, ambalo lina uwezo wa kuokoa roho zenu.

1
01/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Litiini neno, msilisikie tu, mkijidanganya nafsi zenu wenyewe. \v 23 Kwa kuwa kama yeyote alisikiaye neno bila kulitendea kazi ni sawa na mtu ajiangaliaye uso wake kwenye kioo kama alivyo. \v 24 Hujitathimini uso wake, na huenda zake na baada ya muda mfupi husahau anavyofanana. \v 25 Bali mtu yule anayeiangalia kwa uangalifu sheria kamili, sheria ya uhuru, na kuendelea kuitii, si kwa sababu yeye ni msikilizaji tu anayesahau, huyu mtu atabarikiwa anapolitenda neno.

1
01/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Ikiwa mtu yeyote atafikiri moyoni mwake kuwa ni mtu wa dini, lakini hawezi kuudhibiti ulimi wake, huundanganya moyo wake na dini yake ni bure. \v 27 Dini iliyo safi na isiyoharibiwa mbele za Mungu wetu na Baba wa mbinguni ni hii: kuwasaidia yatima na wajane katika mateso yao, na kujilinda e na ufisadi wa dunia.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 2 \v 1 Ndugu zangu,msiifuate imani ya Bwana Yesu Kristo, Bwana wa utukufu, kwa kupendelea watu fulani. 2 Kama mtu fulani akiingia kwenye mikutano yenu amevaa pete za dhahabu na mavazi mazuri, pia akaingia masikini mwenye mavazi machafu, 3 na mkaonyesha kumjali zaidi yule mwenye mavazi mazuri na kusema, "Tafadhari wewe keti hapa mahali pazuri" lakini mkamwambia yule masikini, "Wewe simama pale," au "Kaa chini ya miguu yangu." 4 Je, hamuhukumiani ninyi wenyewe, na kuwa waamuzi wenye mawazo mabaya?

1
02/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 2

View File

@ -44,6 +44,10 @@
"01-09",
"01-12",
"01-14",
"01-17"
"01-17",
"01-19",
"01-22",
"01-26",
"02-title"
]
}