Fri Sep 01 2023 19:18:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 19:18:14 +03:00
parent 74b63c8e04
commit 3fcd673031
5 changed files with 9 additions and 1 deletions

1
02/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Kuna uzuri gani, ndugu zangu, kama mtu anasema ninayo imani kwa Mungu, lakini hana matendo mema? Je, imani hiyo yaweza kumwokoa mtu huyo kutoka kwenye hukumu ya Mungu? \v 15 Kama ndugu wa kiume au wa kike ni muhitaji wa mavazi au chakula cha kila siku, \v 16 na mmoja wenu akawaambia, "Nendeni kwa amani, mkaote moto na mle vizuri," lakini hamuwapi mahitaji muhimu ya mwili, hiyo yafaa nini? \v 17 Hali kadhalika, imani pekee, kama haina matendo mema, imekufa.

1
02/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Lakini mtu fulani anaweza kushindana kusema, " Una imani, na mimi ninayo matendo." Nionyeshe imani yako pasipo matendo, nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo yangu. \v 19 Waamini kuwa kuna Mungu mmoja; uko sahihi. Hata mapepo nayo yanaamini hivyo na kutetemeka. \v 20 Je, unataka kujua, ewe mtu mpumbavu, namna ambavyo imani hiyo pasipo matendo mema isivyofaa?

1
02/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Je, si baba yetu Abrahamualihesabiwa haki kwa matendo alipomtoa mwanawe Isaka juu ya madhabahu? \v 22 Mnaona kuwa imani yake ilifanya kazi na matendo yake mema, na kwa matendo yake, imani yake ilifikia kusudio lake. \v 23 Maandiko yalitimizwa yasemayo, "Abrahamu alimwamini Mungu, na akahesabiwa kuwa ni mwenye haki." Hivyo Abrahamu aliitwa rafiki wa Mungu. \v 24 Mwaona kuwa kwa matendo mtu huhesabiwa haki, na si kwa imani tu.

1
02/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Hali kadhalika, Rahabu yule kahaba alihesabiwa haki kwa matendo, alipowakaribisha wajumbe na kuwapeleka kwa barabara nyingine? \v 26 Kwa kuwa kama vile mwili usipokuwa na roho umekufa, vivyo hivyo imani pasipo matendo imekufa.

View File

@ -53,6 +53,10 @@
"02-05",
"02-08",
"02-10",
"02-12"
"02-12",
"02-14",
"02-18",
"02-21",
"02-25"
]
}