Fri Sep 01 2023 19:29:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 19:30:00 +03:00
parent 0574cadb76
commit 17338bc2df
6 changed files with 11 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Ndugu, msinung'unikiane ninyi kwa ninyi, kusudi msije mkahukumiwa. Tazama, hakimu anasimama mlangoni.\v 10 Kwa mfano, ndugu, angalieni mateso na uvumilivu wa manabii walionena katika jina la Bwana.\v 11 Tazama, twawaita wale wanaovumilia,"heri." Mmesikia uvumilivu wa Ayubu, na mnalijua kusudi la Bwana kwa ajili ya Ayubu, ni kwa jinsi gani Bwana amejaa huruma na rehema.
\v 9 Ndugu, msinung'unikiane ninyi kwa ninyi, kusudi msije mkahukumiwa. Tazama, hakimu anasimama mlangoni. \v 10 Kwa mfano, ndugu, angalieni mateso na uvumilivu wa manabii walionena katika jina la Bwana. \v 11 Tazama, twawaita wale wanaovumilia,"heri." Mmesikia uvumilivu wa Ayubu, na mnalijua kusudi la Bwana kwa ajili ya Ayubu, ni kwa jinsi gani Bwana amejaa huruma na rehema.

1
05/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Zaidi ya yote, ndugu zangu, msiape, aidha kwa mbingu ama kwa nchi, au kwa kiapo cha aina nyingine. Bali hebu "ndiyo" yenu na imaanishe "ndiyo" na "hapana" yenu na imaanishe "hapana," ili kwamba msije kuangukia chini ya hukumu.

1
05/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Kuna yeyote miongoni mwenu ana mateso? Yampasa aombe. Je, mtu yeyote ni mwenye kuchangamka? Na aimbe sifa. \v 14 Je, kuna yeyote miongoni mwenu aliye mgonjwa? Na awaite wazee wa kanisa, nao wazee wa kanisa waombe juu yake, wakimpaka mafuta katika jina la Bwana, \v 15 na maombi ya imani yatamponya mgonjwa, na Bwana atamwinua. Na kama atakuwa ametenda dhambi, Mungu atamsamehe.

1
05/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Kwa hiyo ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana kila mmoja na mwenzake, ili muweze kuponywa. Maombi ya mwenye haki huzaa matokeo makubwa. \v 17 Eliya alikuwa mtu mwenye hisia kama zetu, aliomba kwa juhudi kwamba mvua isinyeshe, na haikunyesha katika nchi kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita. \v 18 Na Eliya aliomba tena, na mbingu zilimwaga mvua juu ya nchi na nchi ikatoa mavuno.

1
05/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Ndugu zangu, kama yeyote miongoni mwenu amepotoka kutoka kwenye ukweli, lakini mtu mwingine akamrejesha, \v 20 hebu na ajue kuwa yeyote amwongozaye mwenye dhambi kuondoka katika njia yake ya ukosaji ataponya nafsi yake kutoka katika mauti na atafunika wingi wa dhambi.

View File

@ -78,6 +78,11 @@
"05-title",
"05-01",
"05-04",
"05-07"
"05-07",
"05-09",
"05-12",
"05-13",
"05-16",
"05-19"
]
}