sw_gen_text_ulb/41/44.txt

1 line
299 B
Plaintext

\v 44 \v 45 44 Farao akamwambia Yusufu, "Mimi ni Farao, mbali na wewe, hakuna mtu atakayeinua mkono wake au mguu wake katika nchi ya Misri." 45 Farao akamwita Yusufu jina la Zafenathi Panea." Akampa Asenathi, binti wa Potifera kuhani wa On, kuwa mke wake. Yusufu akaenda juu ya nchi yote ya Misri.