sw_gen_text_ulb/37/21.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 21 \v 22 21 Rubeni alilisikia hilo na kumwokoa kutoka katika mikono yao. Alisema, "Tusiuondoe uhai wake." 22 Rubeni aliwambia, "Msimwage damu. Mtupeni katika shimo hili lililopo nyikani, lakini msiweke mikono yenu juu yake" - ili kwamba aweze kumwokoa katika mikono yao na kumrudisha kwa baba yake.