1 line
480 B
Plaintext
1 line
480 B
Plaintext
\c 35 \v 1 \v 2 \v 3 1 Mungu akamwambia Yakobo, "Inuka, panda kwenda Betheli, na ukae pale. Unijengee madhabahu pale, niliyekutokea pale ulipomkimbia Esau kaka yako." 2 Kisha Yakobo akawambia nyumba yake na wote aliokuwa nao, "Wekeni mbali miungu yote ya kigeni iliyo kati yenu, jitakaseni wenyewe, na kubadili mavazi yenu. 3 Kisha tuondoke na kwenda Betheli. Nitajenga pale madhabahu kwa Mungu, aliyenijibu katika siku ya shida yangu, naye amekuwa pamoja nami kila nilikokwenda. |