sw_gen_text_ulb/27/34.txt

2 lines
239 B
Plaintext

\v 34 \v 35 34 Esau aliposikia maneno ya baba yake, akalia kwa kilio kikubwa na
cha uchungu sana, na akamwambia baba yake, "Unibariki nami, mimi pia, babangu." 35 Isaka akasema, "Ndugu yako alikuja hapa kwa hila na amechukua baraka yako."