|
\v 26 \v 27 26 Kisha Isaka baba yake akamwambia, "Sogea karibu nami na unibusu, mwanangu." 27 Yakobo akasogea na kumbusu, naye akanusa harufu ya nguo zake na kumbariki. Akasema, "Tazama, harufu ya mwanangu ni kama harufu ya shamba alilolibariki Yahwe. |