1 line
316 B
Plaintext
1 line
316 B
Plaintext
\v 15 \v 16 \v 17 15 Rebeka akachukua nguo nzuri za Esau, mwanawe mkubwa, alizokuwa nazo nyumbani mwake, na akamvika Yakobo, mwanawe mdogo. 16 Akamvalisha ngozi ya mwanambuzi katika mikono yake na katika sehemu laini za shingo yake. 17 Akaweka katika mikono ya Yakobo kile chakula kitamu na mkate aliokuwa ameuandaa. |