1 line
295 B
Plaintext
1 line
295 B
Plaintext
\v 2 \v 3 2 Basi Yahwe akamtokea na kumwambia, "Usishuke kwenda Misri; kaa katika nchi niliyokuambia. 3 Kaa katika nchi hii hii niliyokuambia, nami nitakuwa pamoja nawe na kukubariki; kwani kwako wewe na uzao wako, nitawapa nchi hii yote, nami nitatimiza kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako. |