1 line
390 B
Plaintext
1 line
390 B
Plaintext
\c 12 \v 1 \v 2 \v 3 1 Kisha Yahwe akamwambia Abram, "Nenda utoke katika nchi yako, na toka kwa ndugu zako, na kwa jamaa za baba yako, uende katika nchi nitakayo kuonyesha. 2 Nitakufanya uwe taifa kubwa, na nitakubariki na kulifanya jina lako kuwa kubwa, na utafanyika baraka. 3 Nitawabariki wakubarikio, lakini asiye kuheshimu nita mlaani. Kupitia kwako familia zote za nchi zitabarikiwa. |