sw_gen_text_ulb/09/26.txt

1 line
201 B
Plaintext

\v 26 26 Akasema pia, Yahwe, Mungu wa Shemu, abarikiwe, Kanaani na awe mtumwa wake. \v 27 27 Mungu na apanue mipaka ya Yafethi, na afanye makazi yake katika hema za Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake."