sw_gen_text_ulb/44/01.txt

1 line
329 B
Plaintext

\c 44 \v 1 \v 2 1 Yusufu akamwamuru msimamizi wa nyumba yake, akisema, "Jaza magunia ya watu hawa kwa chakula, kiasi wawezacho kubeba, na uweke pesa ya kila mtu katika mdomo wa gunia lake. 2 Uweke kikombe changu, cha fedha, katika mdomo wa gunia la mdogo, na pesa yake ya chakula pia." Msimamizi akafanya kama Yusufu alivyosema.