1 line
350 B
Plaintext
1 line
350 B
Plaintext
\v 35 \v 36 35 Ikawa walipoyafungua magunia yao, na tazama, kila mfuko wa fedha wa mmojawao ulikuwa katika gunia lake. Wakati wao na baba yao walipoona mifuko yao ya fedha, wakaogopa. 36 Yakobo baba yao akawambia, "Mmeniharibia watoto wangu. Yusufu hayupo hai tena, Simoni ameondoka, nanyi mmpeleke Benjamini naye. Mambo haya yote ni kunyume changu." |