sw_gen_text_ulb/37/34.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 34 \v 35 \v 36 34 Yakobo akararua mavazi yake na kuvaa mavazi ya magunia katika viuno vyake. Akaomboleza kwa ajili ya mwanawe siku nyingi. 35 Wanawe na binti zake wote wakainuka na kumfariji, lakini alikataa kufarijiwa. Akasema, "Hakika nitashuka kuzimu nikimwombolezea mwanangu." Babaye akamlilia. 36 Wamidiani wakamwuza huko Misri kwa Potifa, afisa wa Farao, kepteni wa walinzi.