sw_gen_text_ulb/42/14.txt

1 line
351 B
Plaintext

\v 14 \v 15 \v 16 \v 17 14 Yusufu akawambia, "Ndivyo nilivyowambia; ninyi ni wapelelezi. 15 Mtajaribiwa kwa njia hii. Kama aishivyo Farao, hamtaondoka hapa, mdogo wenu asipokuja hapa. 16 Mtumeni mmoja wenu amlete mdogo wenu. Mtabaki gerezani, hata maneno yenu yatakapothibitishwa, kwamba kuna ukweli ndani yenu." 17 Akawaweka kifungoni kwa siku tatu.