\v 12 \v 13 12 Akawambia, "Hapana, mmekuja kuangalia sehemu za nchi zisizolindwa." 13 Wakasema, "Sisi watumishi wako tupo ndugu kumi na wawili, wana wa baba mmoja katika nchi ya Kanaani. Tazama, mdogo yupo na baba yetu, na mwingine hayupo hai tena."