1 line
311 B
Plaintext
1 line
311 B
Plaintext
\v 9 \v 10 \v 11 9 Yusufu akazikumbuka ndoto aliyoziota kuhusu wao. Akawambia, "Ninyi ni wapelelezi. Mmekuja kuona sehemu za nchi zisizolindwa." 10 Wakamwambia, "Hapana, bwana wangu. Watumishi wako wamekuja kununua chakula. 11 Sisi sote ni wana wa baba mmoja. Ni watu wa kweli. Watumishi wako siyo wapelelezi." |