sw_gen_text_ulb/42/01.txt

1 line
415 B
Plaintext

\c 42 \v 1 \v 2 \v 3 \v 4 1 Basi Yakobo akafahamu kwamba kuna nafaka huko Misri. Akawambia wanawe, "Kwa nini mnatazamana? 2 Akasema, "Tazama, nimesikia kwamba kuna nafaka huko Misri. Shukeni huko mkatununulie chakula ili tuishi wala tusife." 3 Ndugu kumi wa Yusufu wakashuka Misri kununua chakula. 4 Lakini Benjamini, ndugu wa Yusufu, Yakobo hakumtuma na ndugu zake, kwani alihofu kwamba madhara yaweza kumpata.