sw_gen_text_ulb/41/35.txt

1 line
297 B
Plaintext

\v 35 \v 36 35 Na wakusanye chakula chote cha hii miaka myema ijayo na kuitunza nafaka chini ya mamlaka ya Farao, kwa chakula kutumika katika miji. Wakihifadhi. 36 Chakula kitakuwa matumizi ya nchi kwa miaka saba ya njaa itakayokuwa katika nchi ya Misri. Kwa njia hii nchi haitaharibiwa na njaa."