sw_gen_text_ulb/41/25.txt

1 line
215 B
Plaintext

\v 25 \v 26 25 Yusufu akamwambia Farao, "Ndoto za Farao ni moja. Mungu amemwambia Farao kuhusu jambo analokwenda kulifanya. 26 Wale ng'ombe saba wema ni miaka saba, na masuke saba mema ni miaka saba. Ndoto ni moja.