|
\v 25 \v 26 \v 27 \v 28 25 Hawa walikuwa watoto wa Ana: Dishoni na Oholibama, binti Ana. 26 Hawa walikuwa wana wa Dishoni: Hemdani, Eshbani, Ithrani, na Kerani. 27 Hawa walikuwa wana wa Ezeri: Bilhani, Zaavani, na Akani. 28 Hawa walikuwa wana wa Dishani: Uzi na Arani. |