\v 20 \v 21 20 Wakati Reu alipokuwa ameishi miaka thelathini na miwili, alimzaa Serugi. 21 Reu aliishi miaka207 baada ya kumzaa Seregu. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike.