sw_gen_text_ulb/01/22.txt

1 line
160 B
Plaintext

\v 22 Mungu akavibariki, akisema, "zaeni na muongezeke, na mjae majini katika bahari. Ndege waongezeke juu ya nchi." \v 23 Ikawa jioni na asubuhi, siku ya tano.