sw_gen_text_ulb/27/05.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 5 \v 6 \v 7 5 Basi Rebeka akasikia Isaka alipoongea na Esau mwanawe. Esau akaenda uwandani kuwinda mawindo na kuja nayo. 6 Rebeka akaongea na Yakobo mwanawe na kumwambia, "Tazama, nimemsikia baba yako akiongea na Esau ndugu yako. Akasema, 7 'Niletee mnyama na unitengenezee chakula kitamu, ili nikile na kukubariki mbele za Yahwe kabla ya kufa kwangu.'