1 line
296 B
Plaintext
1 line
296 B
Plaintext
\v 21 \v 22 21 Isaka akamwomba Yahwe kwa ajili ya mke wake kwa sababu alikuwa tasa, na Yahwe akajibu maombi yake, Rebeka mkewe akabeba mimba. 22 Watoto hawa walipokuwa tumboni mwake wakasumbuka, naye akasema, "Kwa nini jambo hili linatokea kwangu mimi?" Akaenda kumuuliza Yahwe kuhusu jambo hili. |