1 line
305 B
Plaintext
1 line
305 B
Plaintext
\v 12 Lakini Mungu akamwambia Abraham, "Usihuzunike kwa sababu ya kijana huyu, na kwa sababu ya mwanamke huyu mtumwa wako. Sikiliza maneno asemayo Sara juu ya jambo hili, kwa sababu itakuwa kupitia Isaka kwamba uzao wako utaitwa. \v 13 Nitamfanya pia mtoto wa mjakazi kuwa taifa, kwa sababu ni uzao wako." |