1 line
435 B
Plaintext
1 line
435 B
Plaintext
\c 21 \v 1 Yahwe akamsikiliza Sara kwa umakini kama alivyo kuwa amemwambia, Yahwe akamfanyia Sara kama alivyo kuwa amemwahidi. \v 2 Sara akachukua mimba na akamzalia Abraham mtoto wa kiume katika uzee wake, katika muda ule ule ambao Mungu alikuwa amemwambia. \v 3 Abraham akamwita jina mwanawe, ambaye alizaliwa kwake, na Sara, Isaka. \v 4 Abraham akamtahiri mwanawe Isaka alipofikisha siku nane, kama vile Mungu alivyokuwa amemwagiza. |