1 line
425 B
Plaintext
1 line
425 B
Plaintext
\v 19 \v 20 19 Baba yake akakataa na kusema, "Ninafahamu, mwanangu, nafahamu. Yeye naye atakuwa watu, naye pia atakuwa mkuu. Lakini mdogo wake atakuwa mkuu kuliko yeye, na uzao wake utakuwa wingi wa mataifa." 20 Israeli akawabariki siku hiyo kwa maneno haya, "Watu wa Israeli watatamka baraka kwa majina yenu wakisema, Mungu na akufanye kama Efrahimu na kama Manase'. "Kwa njia hii, Israeli akamweka Efrahimu mbele ya Manase. |