1 line
299 B
Plaintext
1 line
299 B
Plaintext
\v 17 \v 18 17 Yusufu alipoona baba yake ameweka mkono wake wa kulia juu ya kichwa cha Efrahimu, haikumpendeza. Akauchukua mkono wa baba yake auweke katika kichwa cha Manase. 18 Yusufu akamwambia baba yake, "Sivyo babangu; kwani huyu ndiye mzaliwa wa kwanza. Uweke mkono wako juu ya kichwa chake." |