1 line
364 B
Plaintext
1 line
364 B
Plaintext
\v 8 \v 9 \v 10 8 Israeli alipowaona wana wa Yusufu, akasema, "Ni nani hawa?" 9 Yusufu akamwambia baba yake, "Hawa ni wanangu, Mungu alionipa hapa:" Israeli akasema, "Walete kwangu, kwamba niwabariki." 10 Basi macho ya Israeli yalikuwa yanashindwa kwa ajili ya umri wake, hivyo hakuweza kuona. Hivyo Yusufu akawasogeza karibu yake, na akawabusu na kuwakumbatia. |